Wakiwakamata wanawapeleka wapi? Wana selo zao? Waendesha mashtaka wao. Maana kama wanawapeleka polisi na waendesha mashtaka wa serikali kesi imeisha hiyo.
Rwanda pale wana mfumo wao Trafki hawakai kivikundi. Ni mmoja kila baada ya kilomita kadhaa. Uvuke rusumo uje ukamatiwe kigari. Trafki wote waliokuruhusu kupita njia nzima watakuwa na wakati mgumu. Pamoja na changamoto zake nandhani hii kidogo inaleta uwajibikaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.