Ndugu wanasheria. Salamu. Napenda kuuliza taasisi ya kituo cha sheri na haki za binadamu (LHRC) kinachoongozwa na Hellen Kijo Bisimba kinapatikana wapi jijini Mwanza?
Pia napenda kufahamu zilipo taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa watu wenye uwezo mdogo kifedha jijini Mwanza.
Nasubiri majibu chanya
Pia napenda kufahamu zilipo taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa watu wenye uwezo mdogo kifedha jijini Mwanza.
Nasubiri majibu chanya