Taasisi ya SSRA imefutwa?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
SSRA ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia mifuko ya hifadhi hapa nchini

Lakini wanufaika wa hiyo mifuko ya hifadhi wengi kwa sasa wanalalamikia kutopata huduma wakati stahiki lkn chombo hiki kipo kimyaaa

Yaan sijui hawapo responsible ? Sijui wana regulate nini bila kusikia end-user anafaidikaje
 
Moja ya taasisi iliyong'olewa meno katika awamu ya 5
 
Jino lenyewe moja, mswaki wa nini? -- Maandishi kwenye guta.

Mifuko ya hifadhi ya jamii iko miwili. Mdhibiti wa Nini?
 
Mkuu wa wanyonge katesa sana watu wanaosubiri mafao yao.
 
Nikiangalia mzigo wangu ulioko huko Nssf ,kuuchota nashindwa huku nakufa na njaa,natamani alieleta huu utaratibu huko aliko achomwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…