Taasisi ya Ustawi wa Jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu

Taasisi ya Ustawi wa Jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu

Jantisa

Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
51
Reaction score
47
Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida.

Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa mifumo ya kizaman Dunia sasaiv ipo kwenye tehama

Mnawakatisha tamaa wanajiuliza kama website rasmi ya chuo ndio Iko hivyo je huko kwenye masomo itakuaje

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom