Taasisi za euckenforde hatarini kufungwa.

MsakaGamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
392
Reaction score
141
Taasisi za eucknforde zilizopo jijini Tanga zipo hatarini kufungwa kutokana na ukata mkubwa unao zikabili. Huu ni mwezi wa tatu sasa wakufunzi wanao fundisha chuo cha ualimu kwenye taasis hizo hawajalipwa mishahara huku makao makuu ya jengo hilo yakiwa yamekatwa umeme na jenereta ku-operate eneo la ofisi tu.
 
Kama habari hii ni ya kweli nitamshangaa mmliki wa shule/taasisi ya Eckenforde kushindwa kuenedsha taasisi ya Elimu kama zile maana tatizo si kukosa wanafunzi bali nafikiri ni kukosa uongozi mzuri huenda yeye anapenda vitu cheap so hata uongozi aliuajiri pengine ni cheap as well. Lawama nyingine nitazipeleka TCU wao wanatoa vibali vyuo vikuu vianzishwe kama uyoga bila kuzingatia uwezo wa Taasisi kifedha, wanataaluma/wafanyakazi waendeshaji wenye sifa, Majengo(kumbi za Mihadhara, Seminar Rooms, Science/Computer labs,na vyanzo vingine vya mapato ukiacha ada toka Bodi ya Mikopo na ile ada inayotoka kwqa wanafunzi/wazazi/walezi. TCU hawajui majukumu yao wamebaki kuhudhuria Maonyesho ndani na nje ya nchi na kutoa PRESS RELEASE lakini utendaji Mbovu. Nimechek Katibu Mtendaji kwa sasa ni Prof. Mchome daah huyu jamaa ndoa yenyewe ilimshinda, pale Faculty of Law(UDSM) palimshinda ataweza taasisi kubwa kama TCU?jamani hivi vyeo msitoe kama njugu wapeni watu wenye uwezo. ikiwezekana Tangazeni kwenye vyombo vya kimataifa ili Maprofesa wenye uwezo waendeshe TCU kwa faida ya Vyuo/wanafunzi na taifa kwa ujumla. Angalau Prof. mayunga Nkunya (sasa yupo IUCEA, Uganda)alianzisha hii Central Admission System (CAS) je huyu Mchome ana lipi la kujivunia?
 
Sishangai, katika kuhanja kwangu kote sijawahi kukutana na product yeyote iliyozalishwa na Eckenforde na tokea enzi hizo hizo taasisi(shule ya secondari na Chuo) zinapiga kazi, sijui wahitimu wake wanaajiriwaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…