Taasisi za kidini zimepigana vita ya korona?

Taasisi za kidini zimepigana vita ya korona?

superkabisa

Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
67
Reaction score
49
Nchi huwa inasimama kwa nguzo za vitu vingi.Taasisi za kidini zikiwemo.

Taasisi nyingi za kidini zina uchumi mkubwa sana.Kutokana na sadaka zinazotolewa na waamini,wafadhili wa taasisi lakini pia Taasisi nyingi zina vitega uchumi vinavyotunisha akaunti katika akaunt za mabenki za Taasisi.

Mimi nafsi yangu haipendi kuona taasisi yoyote ya kidini zinazotambuliwa na serikali ikiamini kauli yangu inawakashifu hapo kwanza nieleweke.

Sawa tunaweza sema hawataki kutoa misaada ya sanitizer,gravu, na barakoa kwa sababu wanaamini katika maombi.dua korona itaisha....Lakini je taasisi hizi zimewachangia chochote wauguzi nje ya maombi/dua labda kuongeza senti kadhaa ili wanapofanya kazi wajikinge vyema.

Waaamini/Wananchi walio karantini wanawasogezea huduma zozote.Hata maji na kuwatia moyo wanawaombea sala/dua hiyo wamepeleka wao kwa usaidizi ya wasimamizi au wamefikishiwa kwa niaba.

Upande mwingine ni wa michezo Sio Tff ambao wanafedha za dharula za Fifa hatujua kama zimefika au LA...hata mfano kwa klabu hawajaonesha .Simba walioenda mfumo wa kisasa pamoja na mashabiki lukuki sijaona msaada Mali ukitolewa wala Yanga ambao wameamua wazindue jarida lao Leo bila kujitokeza mbele kama tmu ya wananchi kusaidia.

Kwenye Vyama vya siasa nimeona chama kimoja kikigawa barakoa sitakitaja kwa sababu ni umoja wa vijana pekee ndio niliona wakifanya hvyo lakini bado sjaona usimamaji unaoridhisha.

@mafikirio haya nilikuwa nayo ila nilivyoona ujumbe huu twitter kwa wadau nkasukumwa zaidi kuuliza..Tuambia taasisi za kidini zinazidiwa na makampuni binafsi hata vinywaji vinavyotulewesha na kisha kupiga wake zetu na kuja kusuluhisha migogoro juu na kuacha sadaka
IMG_20200430_164402.jpg
 
Wamelala wanakuja.

Ila hapo kwenye taasisi za kidini baadhi zina hospital ambazo kila kukicha zinasaidia kutoa huduma.

Usiangalie Corona Tu.
 
Back
Top Bottom