Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020


Utafiti huwa na takwimu - wewe inaonekana una bifu na number!
 
Hiyo ni dhana tu.
Kama ingekuwa ni hivyo, basi tusingekuwa na Wabunge wa vyama vingine kando ya CCM.
aliyesema ni mwenyekiti wa CCM na hawezi kusema kitu cha kuzania ambacho hakifanyiki, wabunge wa CHADEMA waliopo walilazimika kuwatangaza kwa kuogopa nguvu ya umma na kama wasingewatangaza pangechimbika, sasa amekuja huyu wakutupigia mpaka shangazi zetu siyo hali itakuwaje kama siyokuwapiga risasi wote watakaojifanya kufanya fyoko.
 

Hivi mbona hizi tafiti hazioneshi madhaifu yake?
Mbona hizo tafiti hazioneshi kuwa anawanunua wapinzani au kuwalazimisha wajiunge na ccm?
Mbona hizo tafiti azioneshi kuwa uhuru wa vyama pinzani umemenywa kiasi kwamba haviruhusiwi kufanya mikutano ya ndani wala ya nje?


Mimi siamini katika tafiti hizi
 
Mataga tupatie link ya huo utafiti ,pili Jiwe hakushinda 2015 na hatoshinda sema spite kwa njia ileile NEC ,tiss ,policcm .

Mkuu hataweza kutoa link ya huo utafiti, kwa kuwa huu ni utafiti wa ma PHd wa umbeya wa Lumumba buku 7. Akili zao ndio zilipoishia hapo.
 
wananchi hawawezi kuwachagua watu wenye familia
Wanapokataliwa kuchaguliwa na wananchi kwa kuwa ni watu wenye familia ndipo wanapokimbilia kujitangaza kwa kuwa wanamiliki vyombo vya dola na tume ya uchaguzi ni mali yao.
 
Si uvivu wewe mwenyewe umeandika kama kichaa - umesoma lkn unashindwa kudokeza takwimu zilizokwisha ainishwa?
Mkuu tumia lugha ya kiistarabu.
Neno "KICHAA" si neno jema.
 
Mkuu si kweli hata kidogo!
Nipe mfano wa Mbunge mmoja.
 
Mkuu Tafiti huwanyika KISAYANSI kwa kutumia mbinu mbali mbali ambazo huunganishwa na kupata projection inayotafutwa!
 
Ulimbo. Uamini usiamini.Rais Magufuli atachaguliwa tena. Huo ndo ukweli usiopingika.
Jaribu hata wewe kufanya observation yako tu kibinafsi utagundua kuwa Dr. JP Magufuli atawaangusha kwa mbali sana wapinzani wake!
 
Matokeo ya wabunge yanatangazwa na wakurugenzi ambao ni makada wa CCM,

ati uchaguzi ukifanyika, jiwe mwenyewe anauogopa ndio maana safu yote ya kutoa matokeo wamejaa mazwazwa na makada wa CCM.

Shame on you dogs

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza. Wabunge wa UPINZANI walioko bungeni je waliwekwa na CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…