Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

Kwa kifupi umenielewa!

Kutokana na maelezo yako huwezi eleweka - tafiti lazima ziwe supported na data ili msomaji aweze ku-compare, ulishavuka kiwango cha generalization of things na kuwa kwenye kundi la intellectuals - tumia data ktk analysis yako
 
Walipofanya tafiti USA kwamba Hilary Clinton atashinda - ALISHINDA?
Hiyo yao ilikuwa na interest fulani. Hasa ya vyombo vya habari. Na waliofanya haya to be precise walikuwa ni CNN maana hawakumtaka Trump.
Kwetu hapa EIU hawana interest yoyote kwetu kando ya ile yao ya kawaida!
 
Kutokana na maelezo yako huwezi eleweka - tafiti lazima ziwe supported na data ili msomaji aweze ku-compare, ulishavuka kiwango cha generalization of things na kuwa kwenye kundi la intellectuals - tumia data ktk analysis yako
Sawa mkuu nimekupata. Thanks.
 
Ulimbo. mbona uchaguzi uliopita kuna wabunge waupinzani katika bunge?
Nao walijiibia kura ama CCM walijisahau nao WAKAIBIWA na wapinzani?
UkInijibu hapo nitakuelewa!

Swali lako limejikita kwenye kipengele cha nne ambacho ni moja kati ya sababu nilizotoa. Hivi vipengele vingine hujavizungumzia.
Ila kujibu swali lako ni raisi tu. Walijitahidi kuiba ila wapigakura wakajitahidi kulinda kura zao, na ndiyo maana baadae walijitahidi kuwanunua madiwani na wabunge mbalimbali kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi za mweshimiwa.
Wengi waliofanya hivyo kwa sasa wanajuta kwani walichohaidiwa hawakukipata.
 
Mkuu una ukakika/Are you surei?
 
Ubongo wako umejaa matope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sidhani kama kutakiwa na wizi, maana kila chama kina wawakilishi/Agents wao. Ama?

Nadhan uchaguzi 2015 we ulikua ulaya ngoja siku uone sarakasi za uchaguzi 2020 kama utakua upo bongo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhan uchaguzi 2015 we ulikua ulaya ngoja siku uone sarakasi za uchaguzi 2020 kama utakua upo bongo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti Ulaya?
.Mi niko hapa Bongo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…