Taasisi zipi binafsi zinatoa mikopo?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Habari za muda,

Je, ni taasisi binafisi zipi za kuaminika za kupata mikopo nchini ambazo unazifahamu. Naomba nijuze mtanzania mwenzangu.

Asante.
 
kuaminika kivipi?? kama kwa riba Taasisi zote za fedha za Tanzania zote ni wezi kama baba yao CCM
 
Habari za muda,

Je, ni taasisi binafisi zipi za kuaminika za kupata mikopo nchini ambazo unazifahamu. Naomba nijuze mtanzania mwenzangu.

Asante.

Nenda PRIDE Tanzania wako nchi nzima, wanaaminika na wanaeleweka.
 
Hata kwa zile taasisi za mikopo midogomidogo kwa kimombo micro credit organization naomba kujua ni zipi ni za kuaminika na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…