R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 May 19, 2024 #61 Hao ndio waislam kweli wanajua dini sio wale wanaofikiri kukashifu Imani za watu wengine ndio utakatifu. Pamoja na madai ya madaktari kuwa ya msingi bado hakugoma na kusaidia wagonjwa.
Hao ndio waislam kweli wanajua dini sio wale wanaofikiri kukashifu Imani za watu wengine ndio utakatifu. Pamoja na madai ya madaktari kuwa ya msingi bado hakugoma na kusaidia wagonjwa.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 May 19, 2024 #62 Matongee said: Kwanini usijikite kwenye imani yako? Acheni upumbavu. Click to expand... Imani yangu ipi?
Matongee said: Kwanini usijikite kwenye imani yako? Acheni upumbavu. Click to expand... Imani yangu ipi?
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 May 19, 2024 Thread starter #63 Matongee said: Kwanini usijikite kwenye imani yako? Acheni upumbavu. Click to expand... Mat... Soma paper hii niliwasilisha kwenye mkutano Chuo Kikuu Cha Johannesburg mwaka wa 2006: Muslim Bible Scholars of Tanzania The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 -2005) INTERNATIONAL SYMPOSIUM ON ISLAMIC CIVILISATION IN SOUTHERN AFRICA Organised by The Organisation of Islamic Conference Research... mohamedsaidsalum.blogspot.com
Matongee said: Kwanini usijikite kwenye imani yako? Acheni upumbavu. Click to expand... Mat... Soma paper hii niliwasilisha kwenye mkutano Chuo Kikuu Cha Johannesburg mwaka wa 2006: Muslim Bible Scholars of Tanzania The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 -2005) INTERNATIONAL SYMPOSIUM ON ISLAMIC CIVILISATION IN SOUTHERN AFRICA Organised by The Organisation of Islamic Conference Research... mohamedsaidsalum.blogspot.com