Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Dr...Utuelezee baadae kwanin alituleteee majizi ,matapeli OBC ,ottelo business cooperation inayo jihusisha na uwindaji na sasa wamejitanua Zaid na. Kuwaondoa wamasai ktk eneo lao la asili ili wao waendelee uwindaji wao
Hilo usilisahau kufafanua
Leo wamasai wamekuwa homeless hawma mahala Wala asili Yao wanaondoshwa kinyemela na watu mwinyi amewaleta enzi za utawla wake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzee Mwinyi kamwe huwazi kumfanananisha na yule aliyejenga International Airport nyumbani kwa Mama yake.Pole sana mkubwa.
Msiba wetu huu Mzee Mwinyi kaishi na watu vizuri.
Leo nilikuwa naongea na Mzee wangu, akikumbuka siku zake anaitwa Ikulu, lakini Rais anaongea naye kwa heshima kama wako sawa, kwa kuheshimu utu.
Jambo hili lilikuja kuwa adimu kwa wakubwa wengine.
RIP Ali Hassan Mwinyi.
Ndio unapazwa kujuwa na fanya tafitDr...
Hayo siyajui.
Hili linafichwa Sana kwa namn yoyote ileKosa kubwa la Mzee Ruksa ni kuuza Loliondo kwa Waarabu.
Katika hili anastahili lawama sana.Kosa kubwa la Mzee Ruksa ni kuuza Loliondo kwa Waarabu.
Wanaficha bure tunalijua sana
Sijasoma mada ila nimesikitika sana!Jana niliweka taarifa hapa kuwa leo tarehe 1 March 2024 nitafanya kipindi cha Rais Ali Hassan Mwinyi na Africa TV Channel 2 usiku saa tatu.
Naomba radhi kwa kuwa kipindi kilichelewa na kilianza kiasi cha saa nne kasorobo.
Kipindi hiki cha saa nzima kiliongozwa na Mtangazaji Ayubu Mgema.
Mtangazaji alifungua kipindi kwa kunitaka nieleze kumbukumbu yangu niliyobakianayo kutokana na Rais Ali Hassan Mwinyi.
Nilianza kwa kumweleza Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka wa 1985 alipokuwa Rais wa Tanzania akija Msikiti wa Mtoro kusali sala ya Ijumaa na akipishwa kibla kusalisha.
Tulizungumza mengi.
In Shaa Allah nitaweka link hapa.
Mtu anayeuza ardhi yetu kwa Waarabu huwezi kusikitika.Sijasoma mada ila nimesikitika sana!
ππ πKayafaMzee Mwinyi kamwe huwazi kumfanananisha na yule aliyejenga International Airport nyumbani kwa Mama yake.