Kafanya mengi sana hata kabla ya kupewa hiyo ridhaa ya kugombea Ndio maana haikua shida kwake kupambana na ngelejaKama kweli anakerwa na umaskini wa wanajimbo lake, asingoje hadi wamchague ndio ajenge hizo shule. Hiyo ni rushwa hata Takukuru wanajua hivyo.
Jamaa ana pesa nyingi tu, laiti angeyafanya hayo hapo awali angekuwa na wasaa mzuri kwa sasa. Ila nampongeza kwa jinsi alivyoweza kupenya lile jopo la Wajumbe. Hongera sana Bwana Tabasamu.