Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake.
Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena hayo anao.
Tabasamu ni mzalendo sana kwa nchi yake!
Viva bwana Tabasamu na kwa unayoendelea kuyafichua nakuombea kwa Mungu akulinde ili wabaya wasikuumize.
Natabiri uchaguzi ujao huyo mwamba atahamia upande wa pili ili awe Huru zaidi.