Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Amekutuma uje umsifie?Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake.
Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena hayo anao.
Tabasamu ni mzalendo sana kwa nchi yake!
Viva bwana Tabasamu na kwa unayoendelea kuyafichua nakuombea kwa Mungu akulinde ili wabaya wasikuumize.
Natabiri uchaguzi ujao huyo mwamba atahamia upande wa pili ili awe Huru zaidi.
Kwahiyo chama tawala si wazalendo?🤣🤣Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake.
Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena hayo anao.
Tabasamu ni mzalendo sana kwa nchi yake!
Viva bwana Tabasamu na kwa unayoendelea kuyafichua nakuombea kwa Mungu akulinde ili wabaya wasikuumize.
Natabiri uchaguzi ujao huyo mwamba atahamia upande wa pili ili awe Huru zaidi.
Pengine wangemwacha agombee kwa nguvu zake angeshinda. Lakini sasa alibebeshwa zambi zisizomhusu. PengineHuyu muda wake unakwisha 2025, ubunge wake ni wa kudhulumu
Now you are talking.Alikuwa chadema akahamia ccm. Na uchaguzi wa 2015 aligombea ubunge kupitia CHADEMA
Uporaji wa 2020 umewachafua watu wengi. Hata wale waliokuwa na sifa nzuriUbunge wa kupora
Usafi atautoa wapi
But at least kaongea kitu sensible kwenye mafuta
Dikteta aliharibu snUporaji wa 2020 umewachafua watu wengi. Hata wale waliokuwa na sifa nzuri
Lengo ilikuwa kumtoa NgelejaPengine wangemwacha agombee kwa nguvu zake angeshinda. Lakini sasa alibebeshwa zambi zisizomhusu. Pengine