SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME WILAYA YA TABATA - TAREHE 20/JAN/2022
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Ilala' Wilaya ya Tabata linawataarifu wateja wake wa wilaya ya Tabata kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo.
Siku: ALHAMISI 20-01-2022
Muda: Saa 03:00 asubuhi-11:00 jioni.
SABABU: KURUHUSU KAZI YA MATENGENEZO KINGA KATIKA YA MITAMBO KITUO CHA KUPOKEA NA KUSAMBAZA UMEME - KIPAWA.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Wateja wa maeneo yote ya Tabata kamawatakosa huduma kwa muda husika. Maeneo hayo ni kama Ifuatavyo:-
Bima, Liwiti, Magengeni, Kimanga, Kisukuru, Chang'ombe, Segerea, Bonyokwa, Kinyerezi Kifuru na maeneo mengine ya jirani.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza katika kipindi chote cha kukosa huduma kutokana na zoezi hili.
Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.
Wasiliana nasi kwa simu namba ifuatayo, Namba ya Huduma Tanesco Makao Makuu ( Tanesco Call Centre )
0748550000
Tovuti:
www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter,
www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook
https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- TANESCO TABATA.
19-01-2022.