Tabata Kisiwani walipuka kwa furaha jirani yao Emmanuel Nchimbi kupitishwa kuwa Makamu wa Rais Mtarajiwa

Binafsi namkubali sana na life style yake
 
Ni lazma ahamishiwe Makazi daraja 'A' ambapo ni MASAKI.
Huko kisiwani bakini na ukosefu wa maji, umeme na shida zingine mpaka siku Mungu awaonekanie.
 
Sio rahisi mama analindwa na kushauriwa na wabobezi wa siasa pamoja na usalama hayo makosa yalio tokea kule nyuma hayawezi kujurudia "in politics don't trust even your self" mama hawezi kumuamini sanaa huyu makamu wake.
Na kweli yasitokee...maana watanganyika wote wapo na Imani kubwa na nchimbi...kusema kweli jamaa ana bahati Sana sanaa
 
Nchimbi ni ndugu yangu lakini hajawahi kunisaidia kwa lolote lile, kkuna ndugu zake kibao wanateseka kwa umasikini kijijini kwao hawasaidii, ngoja tuone kama atawasaidia majirani zake tabata
Kwani ninyi hamfanyi kazi? Au kuwa ndugu wa nchimbi maana yake uwe unaishi kwa msaada?
Acheni hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…