Tabia 20 za wanaume wa Tanzania

We ni kabila gani?tuambie kabila lako na we tukwambie tabia zenu
 
Naona umechukua sifa mbaya mbaya tu...kaka zangu wana sifa nyingi nzuri ila umeichukua hiyo japo ni ya kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] cc Heaven Sent
 
Nashukuru kwa kutambua namba 3 hiyo maana WAKURYA TUNATOA KICHAPO HATARI!
 
nawapenda nyie kupitia ugali wenu

Mnauliza kabila gani? Kabila naweza kukosea ila ninauhakika ni mwenyeji wa Tanga.Kawapa sifa wasizostahili.Kagua sifa alizo wapa Wadigo na Wabondei.Tabia namba moja kwa makabila yote mawili ni uvivu.Wamesambaza uvivu unaanza kukaribia kuwa tabia ya kitaifa.
 
Wanaume au kisambaa na wabondei wao vipi?nijuze hizo kabila mbili.
7. Wanaume wajuao zaidi mapenzi Tz-WABONDEI. Aisee Mbondei kwa mapenzi hana mpinzani. Umuonavyo njiwa mapenzini ndo sawa na Mbondei. Usemi wa "Mapenzi yalianzia Tanga" umetokana na Wabondei!! Wanaume wa Kisambaa kwakupenda kuendesha Baiskeli hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…