HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Kwani kuambiwa msalimie mkeo ni ishara mbaya?
Mimi naona pouwa tu.
Kwanza: Huyo sio rafiki Kabisaa. Atakuharibia ndoa yako.
Pili: Mpoteze kwa muda kama mke wako akikuuliza tuu "Rafiki yako yule nani tena yuko wapi siku hizi?" Ujue ameshakugongea na anaendelea kula mzigo wako.
Tatu: Pole kaka
Sidhani kama kuna tatizo akisema msalimie mkeo na inategemea mmezoweana vp wewe na yeye au wakezenu.Rafiki yako anakutumia meseji kukusallimu, halafu mwisho anamalizia na msalimie mkeo! anaweka na alama za kushangaa tatu (!!!), maana yake nini aiseee? Au nishaibiwa?
---- Message hii imetumwa na ndugu toka Singida, akiomba ushauri ; anahisi kaibiwa na rafiki yake -----
wala sio vibaya kwa mtazamo wangu, inategemea na jinsi mlivyozoeana!
kama hamna mazoea yoyote ya matan then akasema ivyo ndio kidooogo yaweza kupa mawazo, lakin all in all ni salamu tu usiwaze sana mkuu.
nimependa unavyouchunga mzigo wako lolz, hadi salamu!!!!!!!!!
Kwani kuambiwa msalimie mkeo ni ishara mbaya?
Mimi naona pouwa tu.