warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto
1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya unyenyekevu, hamisa hakua na nia mbaya na diamond wala family yake, alikua anataka tu ndoa na maelewano , of which ni mambo ya kawaida sana kwa familia zetu. Ile voice note haikua na mambo ya kutisha kama yalivyokuzwa.
2. Aibu - Ukisikiliza kwa makini sana voice note , utagundua hamisa alikua na msongo wa mawazo sana , kuhusu rent ya nyumba ya kifahari aliyopangiwa na diamond , ambayo yeye mwenyewe alikiri kuwa diamond alilipa pesa kidogo tu na kodi inakaribia kuisha hivyo anaomba msaada wa dua au kienyeji hili mambo yake yaende vizuri, alikua anaogopa aibu na fedheha ya kuchekwa na watu
3.Wivu - Pia hamisa mobetto alionekana akihuzunishwa na kufedheheshwa na kitendo cha diamond kutokuwahi kumpost kwenye mitandao ya kijamii kama alivyowahi kufanya kwa zari , kitendo hicho kinaonekana kumuuiza sana hamisa .
4.Upendo: Hamisa anaonekana kumpenda sana diamond kupita kiasi, iwe sababu ya pesa au sio pesa, Ila Ana mapenzi na diamond