Tabia halisi ya hamisa mobetto

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto

1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya unyenyekevu, hamisa hakua na nia mbaya na diamond wala family yake, alikua anataka tu ndoa na maelewano , of which ni mambo ya kawaida sana kwa familia zetu. Ile voice note haikua na mambo ya kutisha kama yalivyokuzwa.

2. Aibu - Ukisikiliza kwa makini sana voice note , utagundua hamisa alikua na msongo wa mawazo sana , kuhusu rent ya nyumba ya kifahari aliyopangiwa na diamond , ambayo yeye mwenyewe alikiri kuwa diamond alilipa pesa kidogo tu na kodi inakaribia kuisha hivyo anaomba msaada wa dua au kienyeji hili mambo yake yaende vizuri, alikua anaogopa aibu na fedheha ya kuchekwa na watu

3.Wivu - Pia hamisa mobetto alionekana akihuzunishwa na kufedheheshwa na kitendo cha diamond kutokuwahi kumpost kwenye mitandao ya kijamii kama alivyowahi kufanya kwa zari , kitendo hicho kinaonekana kumuuiza sana hamisa .

4.Upendo: Hamisa anaonekana kumpenda sana diamond kupita kiasi, iwe sababu ya pesa au sio pesa, Ila Ana mapenzi na diamond
 
Huu uzi bila ushahidi wa voice note basi ni sawa na chai kavu tena bila sukari au hata kashata

Shost Kwan voice note huna jomoni ? Na unajiita mbea... hii habar mbona zilipendwa
 
Muasili haachi asili yake, Hivyo km wewe ni mshirikina bhac utabaki kuwa hivyo maisha yako yote
 
MKUU UKO LINDONI AU..? MBONA UNATUPUMZIKIA NA UPUPU?? UNATAKA TULINDE WOTE??
 
Na wewe mtoa post umerogwa siyo bure. Hana mapenzi ya kweli aliyekuwa na mapenzi ya kweli kwa Domo ni Hawa tu.
 

MTU yoyote akuendaye kwa mgaga so mzuri...
Muogope kama kesi ya ufisadi....over
 
Wanaume wengine walishakufa sababu ya ushirikina wa wanawake zao !
Wanawake tegemezi walio wengi wanaishi kwa kutegemea ushirikina!
 
Kama mwanaume unaishi na mke ambae kiwango chake cha uchumi ni cha mashaka jua hakika anakuroga tu !
Wengine wasingependa kusikia hizi Habari lakini utabaki kuwa ukweli mchungu!
 
Unakuta mwanaume nyumbani kwake ndugu wanaofika hapo ni wa upande wa mkewe tu, ndugu wa Mume akija anatiwa ila na Kwa hiyo hawajagi tena, ukiona hivyo Huyo mwanaume kasharogwa!
 
Huwezi kugundua tabia ya mtu usiye mfahamu kwa kutumia Voice note. Labda ungesema kwa mtazamo wako binafsi kwa huyo gash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…