Bila kufanya hayo usiyoyapenda, ulevi utakua hauna maana weee vp? Raha ya pombe ni kujiachilia utakavyo.[/QU ...hatukatai kujiachilia km usemavyo....cheza kiasi, imba, jishike kichwa, kifua...poa. Sio umtomase mhudum bila ridhaa yake...kumbuka yu dada/mchumba/mke wa mtu, hapo yupo kazini.
Si unajua pombe sio chai?Halafu akitoka hapo anaenda kukojoa kwenye ukuta!
Huku anaimba kwa sauti kuuubwa 'wanaume tumeumbwa matesoo....matesoo kuhangaika' au taarab ya Mzee Yusuf...
mambo ya mtoto huyu mashaalah(mzee Yusuph)....ameumbwa,akaumbika...ovyoooooo!! na wao wanajidhalilisha pia!
Mwisho wa siku na kuibiwa vitu vyake kama wallet na simu anaibiwa ila hakomi kesho anarudia tena...kanakuwa ni ka-routine. Wala hashtuki na nyumbani anaitwa baba mwenye heshima zake..kila akirudi mke yupo kwenye kochi anapiga mbu....khaaaaa!!!
Haya huwa ni makusudi tu na ulimbuken,mbona wakiongozana na wake zao huwa hawayafanyi haya na wanakua wamelewa haswaa,hebu mccngizie pombe![/QU ....kweli mkuu wakiongozana na wake zao huwa wapole na wenye adabu km sio wale wa siku zote.
Ndio hivyo hata ukimwona wa hivyo kaamua tu kwa makusudi na ulimbuken wake co pombe wala nn!