Tabia hii haifai

hii thread imepotea njia au?mbona km inastahik kuwep ktk jukwaa la malalamiko!
 
ningekua mhudumu natembea na kafimbo kangu akinishika chuchu ana fimbo ... Wangekoma walevi wa mtindo uo!
 
Halafu mpaka wahudumu nao kukubali kupapaswa..ilitakiwa kunasa vibao vya nguvu mtu atakae watomasa ovyo!! Nenda bar, kunywa, lipa na uende kwao.
 
Na akiingia ndani apande kitandani na mijasho yake, dakika 2 tu anakoroma kama treni ya wahindi wa TRL! Na povu mdomoni, na harufu ya pombe zilizochacha! mweh!
Mwisho wa siku na kuibiwa vitu vyake kama wallet na simu anaibiwa ila hakomi kesho anarudia tena...kanakuwa ni ka-routine. Wala hashtuki na nyumbani anaitwa baba mwenye heshima zake..kila akirudi mke yupo kwenye kochi anapiga mbu....khaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…