Tabia hii inakera sana, iache!

Tabia hii inakera sana, iache!

mpenda arage

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
1,677
Reaction score
3,806
Habari wakuu! Naimani mu wazima, kwa wenye changamoto, Mungu awafanyie wepesi.

Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna hii tabia ya mtu anapokuwa baduni anaoga inakera sana! Yaani akiingia yeye muda wote anaooga ni kukoroma, kujikoholesha hovyo kutema mate, makohozi, mara apenge makamasi.

Yaani vyote anavifanya humo humo bafuni, kiasi kwamba hata kuingia mtu mwingine ni kama kinyaa! Hapo bado hajakojoa, maana ni kawaida wakati wa kuoga.

Kuna mwamba niko nae saiti, anazingua sana! NAJUA UMO HUMU. ACHA HIZI MAMBO.

pearltrendz__1669139094897391.jpg
 
Back
Top Bottom