kabisaaaa mdau!!inauzi sana hiyo!!hii ishu iko complicated ukiiangalia kwa angle tofauti tofauti, but all in all asilimia kubwa ya madem au wanawake au wasichana wako material based sana, huna kitu, they don't give a shit about you, but wakigundua uko fresh wanakujia fasta sanaaa!
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!
nazani mdau hujasoma kwa ufasaha maelezo yangu,sio kweli kwamba naitaji namaba ya binti na wala siongelei mtu mmoja alieninyima namba kwa mtazamo wako,naongea kwa ujumla na kwa usoefu,ni tabia ya mabinti wengi sana kuwazarau watu amabao wanawajua au kuwapotezea makusudi,ila wakijua unaweza kuwasaidia wanakuja kasi,hapo mi ndio tatizo langu lipo,sasa kama mtu ulisema humjui na huwezi mpana namba yako,kwanini baada ya kujua ni ofsa sehemu nawe unaitaji msaada ndio ujidai unamjua na kumsamini sana na kumkubushia mambo mengi ya nyuma? Kama wewe unamsimamo usijidai kumjua mtu kwa sababu unashida ua umejua anamasilahi,hii ni tabia mbaya sana sana,muache.shida yako wewe umeshaamini kuwa huwezi kuishi bila namba za simu za mabinti. Kama first time alijifanya hakukumbuki na akakunyima namba yake (ambayo hata hivyo mimi sijui unaitakia nini) na wewe si umwambie tu kuwa humkumbuki! wewe kuna kitu unabembeleza kwake ndio maana unakosa ujasiri wa kumwambia humkumbuki, na huo ni udhaifu. Na katika maisha yako usipende kuiona thamani yako kupitia watu wengine.
pole sana mdau wambie hao,hivi mtu unapata faida gani kujionesha uko juu,kwani ni mpaka umzarau mtu ndio uonekane uko juu??inaboa sana kiukweli..nazani ni sahihi kumsamini yoyote bila kujali daraja lake.iyo ata me imenitoke juzi kati kuna binti nilisoma nae juzi nipo ilala nikamuona akajifanya kanisahau nikaanza kujitambulisha mtu mzima badae sana akajifanya kunikumbuka nikamuomba namba kwasababu nilikuwa nawai kazin akachomoa kwamba cmu kaacha ofini kwake na akumbuki namba yake kichwa, cjui namba yangu kaitoa wapi baada ya cku mbili ana nipigia cmu 2onane nikapiga chini nikamwambi niko bize sana.wanaboa sana kwa kujiona wapo juu kumbe akuna ki2.
pole sana mdau wambie hao,hivi mtu unapata faida gani kujionesha uko juu,kwani ni mpaka umzarau mtu ndio uonekane uko juu??inaboa sana kiukweli..nazani ni sahihi kumsamini yoyote bila kujali daraja lake.
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!
Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!
mdau soma muendelezo wa hoja ndio uchangie.wewe unaomba namaba ya nini??????????