Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Status
Not open for further replies.

Habari yako aina utangulizi mzuri na hivyo inabaki hewani tu. Wewe unafanya kazi ofisi gani? Je, kuna uhusiano gani kati ya ofisi unayofanya na ITV? Je, chumba hicho mlichokuwemo kinatumika na institutions tofauti kuanzia mbili?
 
Ufoooo Saroo huyu ni yule binti anayesuka mabutu au twende kilioni. Siamini kama anaweza kufanya hivyo. Mbona huwa anatia huruma sana hata kwenye runinga?? Pole mama umeanza vibaya.
 
Mi sijaelewa.. Mtoa mada anasema alikuwa ofisini?! Hebu iweke vizuri kidogo hii..
 
Huyu ufro saro hana umuhimu katika nchi hii. Sioni kama kuna haja ya kumjadili hapa ndani. Inawezekana amechanganyikiwa na maisha au mapepo yanamsumbua. Msamehe. Hajui alitendalo.
 
Fafanua vizuri story yako, ni kama vile imetengenezwa tengenezwa fulani...ofisini, saa 2 usiku, akachomoa TV...Mmmh?!
Jichunguze vizuri pia, kama si yeye then wewe pia unaweza kuwa na tatizo, kama ni ofisini kwako then probably hujieshimu vya kutosha ama ukienda ofisi za wenzako you do behave the same....tafakari!
 
Msameheni tu mdada wa watu, kwanza sura yenyewe kanyimwa:sura imekomaa kama jiwe la kusugulia miguu. Tatzo hz kaz za kupeanapeana kikabila bila cfa. "Masikini akipata........hulia mbwata. Hao ni miongoni mwa wanahabari wanaofikili kwa kutumia wowowo.
 
Haya yote ni madhara ya shigongo.Kila mtu anataka kutunga riwaya!
 
Kwani huyo Ufaulo Saro ana umaarufu gan za idi ya kuuza sura. Anajvunia kupresent kwa tv? Kwan analipwa pesa ya maana basi? Sema tu tatzo kakulia kjjni.
 
Sio ya ITV na wala haihusiani na mambo ya habari.

Katika maelezo yako umesema jamaa yenu mmoja aliingia na watu watatu, kumbe kuna mtu wenu ambaye aliwaleta hawa watu, na inaonekana yeye ndiyo mhusika mkuu wa ofisi ile.

Pia utuwambie mara baada ya wale watu kuondoka, yule jamaa yenu alisemaje kuhusu kitendo hicho.

Alafu acha ushamba, unashangaa mwanamke aliyeolewa kuvaa tight? Alafu unatutajia na rangi yake, unakaa mkoa gani wewe?
 

Labda jamma yenu aliyekuja nae alimwambia yeye bosi wenu so anaweza kufanya chochote. pili hiyo ni office gani mpaka saa mbili usiku ???Polisi / magazeti / au radio ..
 
Hahahaha, huyo ni ufoooo saroooo wa tumbwiiii! Bt si yeye waandishi wa kike wana mambo ya kishamba na kujiona wakati wengine wabayaaaa
 
Huyu ufro saro hana umuhimu katika nchi hii. Sioni kama kuna haja ya kumjadili hapa ndani. Inawezekana amechanganyikiwa na maisha au mapepo yanamsumbua. Msamehe. Hajui alitendalo.
Umuhimu anao kwani yeye ni MWANDISHI wa habari na chombo anachokifanyia kazi kina HESHIMA kubwa (ITV) kwa hiyo anapokuwa pahala popote ndio kusema ITV ipo hapo, umeelewa?
 
Kwani hamjanunua vingamuzi kwenu? msubiri habari maofisini hiyo ndio digital banaaa,
Ukiacha mikoa ile mitano iliyopendelewa zamani, mikoa iliyobaki mingine ilikuwa kwenye DIGITALI (cable/satellite) muda mrefu tuu. Poleni kama zoezi hili limewagusa!
 
Waandishi wengi wananyodo sana si huyo tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona mtoa mada anakwepa kufafanua ofic ni yanani na inahusika nanini?halafu anasisitiza taarifa ya star tv...inaonekana ana conflict of interest!nazani yupo kimajungu zaidi.pole sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…