Umenifurahisha mno hapo, mie nina tabia mbaya sana ya kutovamia (approach) mdada nisiemfahamu. Ungejaribu kuelewa thread yangu ina vitu vingapi ungeelewa.This issue is so private, na nashangaa watu wanatoa comments as if wana uhakika na kilichoandikwa. Usikute amekukataa ukaamua kumuanika hapa,
Chunguza thread ina maana gani ndio ujuwe umuhimu wa huyu dada.Watu wengine bwana, kama alikukera ulishindwa nini kumwambia pale pale?! na hata kama ulimwambia unadhani kulikua na umuhimu gani kuleta hayo mambo yenu tena yasiyo na umuhimu hapa?!
Hata sisi tulishangaa mno baada ya kuelezwa ni yeye na aliondoka bila kuaga baada ya laptop yake kujaa.Ofisi ya nani? Nani mwenyeji zaidi kati yako wewe na yeye? Je, ni public ofice kama bar ambapo TV ni ya wote? Sijaelewa mimi. Hata hivyo, mimi ninavyomjua, huyu dada ni mstaarabu sana. Sijaamini bado maelezo yako.
DUH!!! mkuu mnakaa ofisini hadi saa mbili usiku?? au ndio kusema nyumbani hakuna TV inabidi kusubiria taarifa ya habari ofisini???
hawa ni kuwafunza adabu ebo
Msameheni bure ! Wa Uru Kishumundu ndivyo walivyo
Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja) wakiwa na laptops na video camera na kuanza kutafuta switchsockets ili kucharge.
Mwanamke akaenda moja kwa moja kwenye tv na kuizima na kuchomeka charger ya kilaptop chake na kutuacha wenyeji tukiduwaa na hatua hiyo.
Kwa kweli ilituuma mno na sikuvumilia, nikamuomba atafute pengine kwani switchsockets zipo nyingi cha ajabu mdada akasema sisi ndo tutafute pahala pengine pa kuangalia/kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Sikuvumilia na niliamka kwenda toa charger yake na kuwasha tv. Baadae mmoja wao akaniambia yule mdada ni Ufoo Saro wa ITV, tulishangaa sana kwa tabia hiyo na kujiuliza mbona busara hana au kwa kuwa ni mwandishi wa habari (tena ITV) au katoka Mzizima (Dar) na kutudharau wa mikoani?
Sasa kama mtu ambae hana simile si angemzaba kibao?
Ofisi haihusiani na masuala ya habari vyovyote vile. Walipewa msaada wa kucharge tu vifaa vyao vya kazi na switchsocket zipo nyingi tu ofisini.Naona maoni meeengi japo mwanzisha mada hakuna sehemu aliyoeleza kuwa hiyo ofisi waliyokuwemo ni ofisi ya nani, ina shughuli gani na taratibu za kazi zinasemaje. Au?
Warrrrahi ningem.......... Mpaka akome ubishi!Japo alituudhi tulimsema lakini bado akawa mbishi na ndipo nilipochukuwa hatua ya kutoa charger yake kwenye switchsocket. Wewe ulitaka tumfanyeje?
TV ipo boss, hakuna tu king'amua mawimbi lol. A.k.a kingamuzi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums