Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Status
Not open for further replies.
Tabia kilema! Walemavu wanahitaji kusaidiwa!
 
Meen?charger?what the hell is this?charger unafungua thread?bahati nzuri kuna waliiona kama mimi kwamba there is something behind not charger
 
Acha kuleta ngono hapa! Huyo mama kakosa ustaarabu kwa kuona yy na vyake ndo viaze. Huwez kukuta wa2 wanafanya mambo yao ww unajfnya wa muhmu sana! Who knws ha by da way! Who z she! Fame without cash ni upuuuuz!!!! Actafute u celebrity wa kijinga!
 
Ngono?ngono?!!! hahahaha

ngono
 
kwanza kwanini mlimchelewesha
 
Meen?charger?what the hell is this?charger unafungua thread?bahati nzuri kuna waliiona kama mimi kwamba there is something behind not charger
Acha kuwa SIMPLEMINDED, ichunguze thread na uielewe kwa kina ndipo umwage vitu. Sawa MZEE.
 
kwanza kwanini mlimchelewesha
Tulimchukulia kiustaarabu kumkumbusha kuwa hapo ni kwa ajiri ya TV, lakini hakuona maana na kujifanya kuja juu, lakini tulimshinda kwa maneno tu. Kumbuka Tanganyika ilipata uhuru kwa porojo tu!
 
dah yaani hata kakofi kamoja kazito kazito siku ingine msirudie tena
 
Meen?charger?what the hell is this?charger unafungua thread?bahati nzuri kuna waliiona kama mimi kwamba there is something behind not charger

Wewe unaona ni jambo dogo ila lingeweza kuzua makubwa pia wengine tumepata cha kujifunza hapo
 
Kama wewe ni mwanaume basi jamii yako ina hasara. Haya ni maelezo ya mtu mmoja, usiyatumie kutoa misimamo mikali.

Unaweza kukuta huyu bwana kwa kudhania yule binti ni mshamba kwa jinsi anavyovaa na kutojali nywele zake, akamtokea akidhani ni easy stuff lkn matokeo yakawa ni tofauti (just assumptions) sasa kwa mwanaume kukataliwa na binti ambaye wewe ulijiaminisha kuwa atakuwa rahisi huchochea hasira za namna hii....sasa sisi tusiojua tusiwe wepesi wa kuunga mkumbo wa jazba
 
Acha kuleta ngono hapa! Huyo mama kakosa ustaarabu kwa kuona yy na vyake ndo viaze. Huwez kukuta wa2 wanafanya mambo yao ww unajfnya wa muhmu sana! Who knws ha by da way! Who z she! Fame without cash ni upuuuuz!!!! Actafute u celebrity wa kijinga!

Wewe ulikuwepo? Povu jingi hivi halafu ukikuta si kweli?
 
Labda anadhani yeye ni celebrity na anaamini kuwa celebrity maana yake ni kufanya atakavyo...

hata kama angekuwa celebrity akileta dharau analamba vibao vya kutosha... wote binadamu cha msingi ni kuheshimiana.

ndio hayo unakuta mkoo baa mnapiga story hapa na pale unasikia jamaa nakugusa ongea taratibu jamaa yuko usalama, sasa kwani mtu kuwa usalama ndio anazuia watu kuongea ukweli??

wakileta ubishooo we tandika tu
 
Inawezekana alikuwa na changamoto za maisha tokea muda mrefu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…