Kazi kucheka Cheka tu mkeo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watanzania tubadilike, watoa bovu wengi jiwe limewapata, tusiishi kwa visingizio vya hovyo, ktk vitabia 101 vinavyokera wengi tunavyo , ninapozungumzia ugeni si issue ya Masaa tu kuna wageni wenyeji hujui ataondoka lini na hakopu na mazingira ya ugenini
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukienda nunua nyingine ukianza kucharge masaa 6 ndiyo simu inajaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karudi jioni toka kazini hivyo anacharge simu zake, asubuhi kazini sasa naye mgeni ambaye yupo zaidi na zaidi imekaaje hapo, unakuta mgeni simu yake kila wakati simu ipo kwenye moto halafu charge ya kuazimaMtoa maada ana hoja, sema kuna mijitu inajifanya haielewi. Hiyo ndo inasumbua watu. Chaja ina uzito gani mpaka usibebe yako!!? Sasa mwenyeji wako anataka kuchaj nawe ndo unasema niazime chaja. Unajua atakosa dili ngapi kwa kutokuwepo hewani!!?
Hapo sasa mwenyewe una mambo yako na tanesco wasivyo na hiyana ile unataka kuweka na wanabeba umeme wao, mie wageni wakuamka asubuhi asubuhi wana nikera balaaShida sana. Wanaompinga mleta mada hayajawahi kuwatokea. Au ile umeweka simu yako chaji ina asilimia 5 kutoka kidogo kurudi unakuta mgeni kachomoa chaji kachomeka kwake daah
Mgeni anaenuka viatu au jasho hua na mmaind kimoyo moyo sema ni vile tu nakosa namna ya kumwambia
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Weee hujui tu, hiyo nayo kero simu zenyewe hizi mterezo chaji zinaisha fasta data ikitembea kuna vitu vya muhimu Unataka ufanye mgeni kaazima chaji, inakera, kujisemea kaka angu hapo juu chaji inauzito gani usibebe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo ho, kwa harufu ya viatu unatamani shimo litokee ujifukie! Ww ushawahi kupita Vingunguti Machinjioni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa nilikuwa nikipata mgeni moja mara kwa mara viatu vyake jamani utaomba shimo litokee ujifukie,
akivua koridoni jamani utasikia majirani huko mmmm wanavutoa nje aibu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhahahaa jamaa umenichekesha sana leo!Endelea kuwanyima MAVI wageni.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa nilikuwa nikipata mgeni moja mara kwa mara viatu vyake jamani utaomba shimo litokee ujifukie,
akivua koridoni jamani utasikia majirani huko mmmm wanavutoa nje aibu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha harufu hadi inaua panya
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo ho, kwa harufu ya viatu unatamani shimo litokee ujifukie! Ww ushawahi kupita Vingunguti Machinjioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Mgeni anajifanya mpenzi sana Wa mipira AF familia yangu inataka kuangalia tamthilia ya SULTAN,apo naboreka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafai kabisa kutembelewaAiseee! Nikiwa mgeni wako itabidi niwe nikula nimeshiba niwe nahela ya lala Lodge