Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
wote mliokaa hapo ni wachawi ila mmekosa vifaa tu vya kurogeaYaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.
Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii iliyopigwa marufuku) kasema mwanae huwa anapenda sana hiyo.
Hapa tumekula nusu hata hatujashiba.
Mwenzangu hapa kasema anamchomekea kwa waziri wa mazingira kuwa fulani anatembea na kamfuko ka plastiki kwa ajili ya kubebea nyama iliyopikwa.
Mwanaume unapata wapi tabia za umbea umbea ?Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.