Tabia mbaya ni nini?

Tabia mbaya ni nini?

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
1. Tabia mbaya kwa mke kumwambia mumewe... "wee una shepu ya kuwa na, mwanamke kama mimi" 2. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kuwa na "mchepuko" wa nje wakati umeoa/umeolewa 3. Tabia mbaya kukaa kwenye vijiwe "kuwasengenya" watu na kuwasema vibaya na kuzusha tabia ya "uongo na fitina" 4. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya mtoto wa kiume kuwa na wivu wa "kike kike" tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kwa mtoto wa kiume kuwa "punga" INAUMA sana na KUSIKITISHA sana......
 
Seen
 
Back
Top Bottom