Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Seen1. Tabia mbaya kwa mke kumwambia mumewe... "wee una shepu ya kuwa na, mwanamke kama mimi" 2. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kuwa na "mchepuko" wa nje wakati umeoa/umeolewa 3. Tabia mbaya kukaa kwenye vijiwe "kuwasengenya" watu na kuwasema vibaya na kuzusha tabia ya "uongo na fitina" 4. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya mtoto wa kiume kuwa na wivu wa "kike kike" tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kwa mtoto wa kiume kuwa "punga" INAUMA sana na KUSIKITISHA sana......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Kumgomea baba askofu
CoolSeen