Tabia mbaya za kupayuka

Tabia mbaya za kupayuka

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
23,382
Reaction score
29,639
*Umexhawah kwenda kweny harusi halaf DJ akawa ana play mzki kwa saut ya juu sana halafu unaongea na rafik yako kwa saut ya juu vlevle ili akusikie mara DJ anazim mzik ghafl huku ww unapayuka ""bibi harusi ana sura mbayaaaaa"""" halafu upo nyuma ya meza ya wazaz wake weeeee hapo ndy utajua hat*
*Panton lina staff* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Ni mtazam 2 msinipige Mawe*
 
Back
Top Bottom