Tabia mbaya

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
2,488
Reaction score
2,904
Kulala bila kuoga ni tabia mbaya
Kulala bila kupiga mswaki tabia mbaya
Kuamka bila kuoga tabia mbaya
Kuamka bila kupiga mswaki tabia mbaya
Kwenda choo bila maji na kutumia toilet paper na maji yapo tabia mbaya

Kufuga mikucha kama jini tabia mbaya
Kuwega ma wigi kuchwan tabia mbaya
Kuvaaa tyt yenye mahips na matako tabia mbayaaa
Kutoa aibu ya mwenzako tabia mbayaa
Kula chakula kimebaki kidogo unaacha Tania mbayaa
Umeenda kutembea kijijin kwenu hulali unaenda kulala hotel tabia mbayaa



Ma tabia mbaya yako mengi hebu weka tabia mbaya japo moja ili turekebishane tabiaaaa
 
Eti nipige mswaki ndo nilale?? Huo muda nitaupata wapi? Kwani nimekula mavi? Kwanza dawa ya meno ni budget
Huu ni upuuzi yaani nioge kabla ya kulala halafu asubuhi nioge tena? hivi hii hali ya uchumi mnaichukuliaje au sabuni mnapewa bure uko kwenu?
Nyie wawili mmenichekesha sana
 
hilo la ku-brush neno kabla ya kulala huwa sikumbukagi, enzi za utoto nakurupuka nimechelewa shule cjui mswaki upo wapi, naamua kukamulia dawa kwenye kidole alaf nabugia mdomoni, nasukutua na maji nipate kale kaharufu kadawa then huyoooo nasepa shule sina habari.
 
Yaaan Kuamka bila kuoga ??? Umemaanisha, ...mtu akiwa bado kalala na usingizi juu AKAOGE NDOTONI AU????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…