ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1.Pombe-sitakubali mke wangu anikute na harufu ya pombe kitandani.
2.Magoma-ndo maana mademu zangu nawaambia kabisa me na mchumba nayetarajia kuishi naye hivyo wawe wapole
Natokea UWABATA ila nakuhakikishia my future wife kuwa nitapambana kuhakikisha naacha kodi ya nyumba kila siku 5000 na lazima nirudi na matunda si ndio!
Afu pia ni hivyi mjue me niko vyombo ujue naheshimika humu ndani na siogopeki Kanda ya kati.