ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1.pombe-sitakubali mke wangu anikute na harufu ya pombe kitandanu
2.magoma-ndo maana mademu zangu nawaambia kabisa me na mchumba nayetarajia kuishi naye hivyo wawe wapole
Natokea UWABATA ila nakuhakikishia my future wife kuwa ntapambana kuhakikisha Naacha Kodi ya nyumba kila siku 5000 na lzm nirudi na matunda si ndio!
Upo wap?? Unaacha 5000 mahitaji yote yapo.... Plus mboga auAfu pia Ni hivyi mjue me Niko vyombo ujue naheshimika humu ndani na siogopeki Kanda ya kati.
Sent using Jamii Forums mobile app