Tabia tofauti za wanawake

Tabia tofauti za wanawake

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,252
UTAFITI MCHUNGU!!!
Maneno ya akina dada na maana zake halisi!

1. Nisalimie ma mkwe jaman= Mdada wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie kumuoa,mcheleweshe kwanza huwa ni waigizaji sometimes!

2. Jomoni= Ni mdada mwongo,mzuri wa sura na hapendi kukosolewa na huwa hakosi birthday party hata siku moja.

3. Vepee= Mdada anayetumia hili neno ni mmbea,anapenda fujo, mkorofi,anapenda kuvaa madera na ni hodari kuwataka waume wa best zake.

4. Chaa = Ni mdada mpayukaji,anapenda ubishi na wanaume, anajiamini kupita kiasi ni mzuri kwa umbo, hafai kuolewa.

5. Unalo babu wee= Ni mdada ,mcharukaji,mpiga kelele,hana points,mcheza singeli,hana aibu,hakosi vigodoro,mzururaji ila anajua mapishi.

6. Nilipie luku mpenzi= Mdada anayetumia sentence hii kwa best ake wa kiume hana mapenzi ya dhati,ni mkweli wa maisha yake binafsi,hana nia ya ukaribu na mwanaume.

7. Sina picha tuma wewe kwanza=

Mdada anayemjibu jamaa sentence hii ni mwoga,hajiamini,hajui mazungumzo,ni mvivu,hajui kujali.

8. P na K= Mdada anayetumia hizi herufi kukujibu anajiskia sana,mvivu, anavutia sura na umbo,hajiamini,amepata elimu ila hana maarifa,hajui kupenda,anapenda pesa sana na huwa anaishia kuhudhuria harusi za wenzie tu!

9. Nikopeshe elf 50 baby=Mdada huyu ni muuaji,mwongo sana,mahali popote penye giza twende kazi, hana mapenzi ya dhat na anapenda mahusiano na wazee,ila ni mjasiriamali wa nguvu!

10. Enx na Chantee= Ni mdada mwenye mzaha mwingi,ukimueleza ukweli anahisi ameonewa anaweza toa chozi mda huo huo, anaamini mapenzi ya dhati, Ni msomi,mwelewa ila huwa hana bahati ya kupata the right man.

11. kwendraaa= Ni mdada aliye na dharau,ila mzuri sana,anapenda pombe kali(wine),hana mabest wengi wa kike,hahongeki kwa pesa,anatamani kuoelewa haraka ila kila mwanaume anayemjia kwa mahusiano anamuona kama punguani flani.

12. Mfyuuu = Ni mdada aliye na jeuri, hana uzuri wowote ni mpiga kelele tu kwenye magrupu na vicoba,ana wivu kwa wadada wenzie, ukimnunulia makande ya jero tu unamhamishia kwako siku hiyo hiyo!

13. Inahuu = Mdada anayetumia haya maneo ni muhuni,anavuta shisha,sigara na pombe kali(wine) ,anapenda vipodozi,hakosi club,anapenda umaarufu.

14. Nyokoloo= Ni mdada mwenye hasira za karibu,anapenda pombe za aina zote,anapenda safari za mikoani, mtafutaji wa pesa,ni bonge la pritenda,mcheshi kiasi,ni msomi, hapendi kula,hana aibu anaweza uza hata maembe sokoni ili apate pesa.

Kati ya hizo wewe mwanamke una tumia kauli ipi kati ya hizo? Na wewe mwanaume je, mwanamke wako ana tumia kauli ipi kati ya hizo?

By
BIGURUBE
 
Back
Top Bottom