Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Extro kwa jinsi nnavyokusoma humu comments zako haki tusingewezana[emoji23][emoji23]
Hahahaha we mlalamishi eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚?
Ile design ya mbona napiga simu mara zote hupokei bebi? Kila siku nakuwish mimi tu mbona we hauniwish good night? Ina maana hujaona missed call zangu au?

Haaa hapo ujue mapema sana itabaki story!
 
Hata malalamiko ya kimahaba nayo hutaki???


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora uwe unalia kupunguza jazba zako na malalamishi lakini sio kumpa kero Mr wako kwa kumpa malalamiko yasiyoisha.

Mambo hayo yakizidi ndiyo hupelekea Wanaume kuweka kambi kwa Nyumba ndogo
 
Nyie wa kimya kimya kama moto wa mapumba ndio hatari.. bora wapayukaji wakimaliza kupayuka mnajua yamekwisha .. πŸ™‚ huku unaweza kuhisi twas a small issue kumbe ukanuniwa miaka mitatu na nusu na hata hujui kama umenuniwa...

Umekaa una raha yako simba imempiga mkulima wa mabondeni .. full magego nje (Kenyewe kamekuseti tu na hasira kwann una raha wakati ulikosea na hakaja kusamehe!?)
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… eti wapayukaji
 
Mimi sio kama nakua mkimya naongea lakini pia sio mpiga makelele nipo kati...
 
Kwenda kunywa pombe usiku huku namsikiliza mwanangu Ferre Gola 'Vita imana' bila kumsahau Fally ipupa' a flye' dah mke wangu utanisamehe ila sitakusaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…