Kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha
Kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa
Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa
mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
Kupelekwa pelekwa kimaisha! kuulizwaulizwa Vimaswali vya kipuuzi km ulikuwa wapi?? na kunipangilia mipango yangu kimaamuzi! huwaga sipendi Kabisa nachukia moyoni!! mpaka najiuliza am I normal? kakosea nini huyu!!
kupenda kuwa juu zaidi ya wote wanao nizunguka kwa wakati maalum na mara nyingi kuliko zote nimeliweza sana hili, hata humu JF sipendagi kushindwa!! tena ktk nyanja za kiakili natakaga nionekana najua sana. kifedha, ki maamuzi, kimuonekano,kimaisha,
Hii tabia yangu imekuwa sugu kiasi kwamba, naona kawaida!! baadhi ya rafiki na ndugu wananitenga!! na kunisema sema!! Oooh! ana jisikia, Mara mjuaji! mara kibrii!! mara nawekewa vikwazo vya kiuchumi! mwisho wa siku haohao tena wanakuja kuomba fedha ya kujikim!
kusemea wengine, kutokushindwa kwa jambo lolote daima popote pale nitakapo kuwa!! hii tabia siiachi !! kamwe! ni tabia yangu tangu nikiwa mtoto!!! nikapewa maonyo kadhaa na baadhi ya watu wangu wa karibu!! zaidi waliishia kuachwa hapo,
na baadae wakaja kuniomba tena msaada wakati nikiwa juu zaidi! hata wengine sijawahi kuwaona kabisa maishani sijui wananikwepa?? cha ajabu siachagi kukumbuka uongo wangu!! wa kung'ang'ania maamuzi yangu kinafiki!!! km hivi tunaweza kukubaliana na wewe usifanye hiki lkn mbali nawewe nitafanya tu!! na mara nyingi kinakuwa kikubwa zaidi.
Mara kadhaa imeniletea maatizo sana!! ikiwa ni pamoja na kuyumbishwa kazini, kuachishwa kazi!! na sometimes ninaacha kazi mwenyewe kweli!! na kufuata maamuzi yangu km Palee Marie stops Mwenge!! tena kwa kumkejeli Mnene!! mpaka wakanishangaa sana ''huyu kijana kabila gani huyu''?
Katika ubishi wooote huu!! na kwa Maajabu ya Mungu kabisaa huwa nina kwenda madaraja ya juu kikazi hatari sana!! mpaka sasa hapa nilipo yaani sikamatiki, kwa ngazi ziilee nilizo pitia!!
Sasa ninawazaga hivi nikija kufanya kazi na Jiwe kama Mwakilishi wa nchi yaani Balozi!! au tuseme Waziri Mkuu! huyu jamaa alivo mkakasi atanitumbua tu! tena mapemaaa! make sikawii kumpa makavu!! nimuonavyo hana uvumilivu huyu!
Ila baadhi ya ma Boss wangu mpaka walikuwa wanatia huruma maana walipataga wakati mgumu sana kuishi na mimi, sikiliza hiki Boss wangu mmoja bana kanisababishia maatizo kazini!! nikaumia sana ile hali ya kuishi bila mshahara wakti unafanya kazi mbaya sana.
Ok! isiwe taabu nikajilipua ghafla bana kazi basi!! nikasepa zangu Ulaya huko nyuma kalipuliwa ni Mfanya kazi wa cheti bandia! nilishangaa sana!!