Manyabuluba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 371
- 381
Hivi inakuaje watu hasa Wadada wanakomaa kutumiwa Pesa ya Idd?
Umefunga wewe Idd wanaomba wengine na wanakomaa kweli kweli utasikia nataka Idd yangu.
Nitumie Idd yangu, mpaka inafikia hatua ya kukosana na Mtu kisa hajatumiwa Idd yake, tarehe zenyewe tasa mambo hayaendi kabisa.