Manyabuluba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 371
- 381
Unawawakilisha wanaume wangapi walioombwa Eid? Au hao wadada wote ni wako ila umeshindwa kukidhi mahitaji yao, in other words umepukutika, usisingizie tarehe kuwa ni tasa, tarehe ni 14 ambayo ni namba shufwaHivi inakuaje watu hasa wadada wanakomaa kutumiwa Eid(pesa)!!Umefunga wewe eid wanaomba wengine na wanakomaa kweli kweli utasikia nataka eid yangu,
Kitu mbaya sanaAfadhali wewe eid adi eid kuna wengne uku wanapigwa sku adi sku tena na ya kutolea...
Mtumie bhanaa acha ubahiriHivi inakuaje watu hasa Wadada wanakomaa kutumiwa Pesa ya Idd?
Umefunga wewe Idd wanaomba wengine na wanakomaa kweli kweli utasikia nataka Idd yangu.
Nitumie Idd yangu, mpaka inafikia hatua ya kukosana na Mtu kisa hajatumiwa Idd yake, tarehe zenyewe tasa mambo hayaendi kabisa.