ngoja nijifiche nione watu wanvyo kana kutoa pesa kwa wana wake!
Kwangu mimi si kuonga ni kutoa pesa kama ishara ya kusaidiana pale inapo bidi.
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??
Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)
Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
Mwanamme wa kweli hali bure
c'moon mzabzab you know i got it!!satsfaction guaranteed you wont want nuthn more..hahaha...
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??
Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)
Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
Hata maneno mazuri ni sadaka
Kama huna hata hayo, chapa lapa π
Mwanamme anayehongwa atakuwa ana walakin
Haki saw kwa wote, na iweje raha mle wote but pesa itoke kwa men