ngoja niichunie,bt niliwah kuwa na msukuma mmoja,kila kukicha ni kumsifia kaka yake.....ooh ana hili,jana kanunua hiki...
wewewewwewe, ishia hapo hapo.
Huyo msukuma alitoka kwao peupe kuliko upara wa kichwa? Maana hata upara huwa una vinyoya.
lol...
Ha ha ha ha, anataka kudhalilisha taifa kubwa?
Au wewe hujapata hasira?
sikutegemea angesema wasukuma..lol
ningejua nisingeuliza ....lol
this is too much coincidence
au mnafahamiana?lol
ngoja niichunie,bt niliwah kuwa na msukuma mmoja,kila kukicha ni kumsifia kaka yake.....ooh ana hili,jana kanunua hiki...
Wewewewwewe, ishia hapo hapo.

why neylu???