ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
CHADEMA kimekuwa ni chama cha kususasusa na kununa hovyo kanakwamba huko kumejaa watoto.
Wamesusia vitu vingi sana mfano; Chaguzi zote ndogo za Udiwani na Ubunge eg, Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali. Aidha huwa Wanasiasa kuingia kwenye mashauriano ya masuala ya Katiba na Demokrasia nk.
Sasa hivi kuna mswaada wa mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na Tume Huru, wakati vyama vingine vikikubali kutoa maoni wao wamesusa ili baadae wasubirie kulalamika.
Binafsi napenda sana CHADEMA wasusie Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024 na mwaka 2025 ili sasa tujue kama kweli nyie ni miamba.
Mwisho kwa kuwa mumewasusa hadi kina Halima na kundi lake Covid 19 ingefaa mususie na ruzuku ili Serikali iwape vyama vingine.
My Take
CHADEMA ina watu wa hovyo sana 😆😆