Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
 
Mkuu mambo ya kule yaache hukohuko please.

Afu hujaikemea tabia hiyo balibumeileta wewe hapa JF hata kwa wasio na Instagram umewaambia wewe.

Vya mitaa hiyo vibaki hukohuko na vya mtaa huu vibaki hapa.


Nitarudi.
 
Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
 
Back
Top Bottom