FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
za ulayA mbona hampigi kelele? au zile haziharibu maadili?Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
1.5 trilion dahHata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
Mkuu Ahsante kwa comment yakoMwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu ID yako ni ya zamani lakini unapost chache.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji23]
Hahah! Aisee kilichotokea sasa ata mimi sijui ndugu yangu...Mkuu ID yako ni ya zamani lakini unapost chache.
Huwa unanifuatilia wapi? Maana ndio nimeiona leo.
Au una ufunguo mwingine tuliozoeana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahah! Aisee kilichotokea sasa ata mimi sijui ndugu yangu...
Tatizo la kiufundi limetokea bila mimi kujua na mpaka sasa hv sijajua bado ni nini shida. Dadeq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pakipambazuka utajua sababu yake, sasa pumzika kwanza[emoji23] [emoji23]Tatizo la kiufundi limetokea bila mimi kujua na mpaka sasa hv sijajua bado ni nini shida. Dadeq
Hahah! Hapana aisee siwezijua mana sina usingiza na nipo sober kabisaPakipambazuka utajua sababu yake, sasa pumzika kwanza[emoji23] [emoji23]
sina hakika kama mafukunyuku yatakuja kukosa soko, najarbu kuhisi mafukunyuku 4 ever, NB; nmewahi kukutana na matako malaiiiiiiiiiiiiiiiiini mithiri ya unga wa ngano, yaan mkono wangu ulikuwa ukigusa tuu, mjomba anadai mmaaa,Ni upepo mchafu tu utapita