Tabia ya kuweka pesa kwenye matiti inapatikanika tanzania tu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kiukweli wakina mama wetu na kina Dada wetu sipendi hii waliyonayo ya kuweka hela kwenye maziwa. Unakuta ni mdada mfanyabiashara amekuuzia kitu kwenye mgahawa Sasa chenji anaitolea kwenye nguo kwenye maziwa.. Kwangu me Haijakaa SAWA kabisa kwanza sio person hygiene and good manner. Wanafaa wabadilike Ile ni ya kizaman na wana I practise Sana wakina mama WA kijijini. Wengine kwao ni kama utamaduni amekuta mama anafanya HiVyO na yeye ameiga. Kama suluhisho lingine pia linaweza kufanyika ni mafundi ku design nguo zao ziwe na mifuko. Lakini bado sijui tatizo ni nini wapo wadada wanavaa suruali Lakini bado pesa anaficha Kwa kuweka kwenye matiti. Na ni mwanamke WA mjini. Culture mazoea mabaya na ushamba
 
Hali ngumu wanaweka isipotee kirahisi kama wewe umezoea kuweka mdomoni pesa acha Mara moja tabia hiyo
 
Umetembelea nchi ngapi mpaka sasa mkuu
Mbili tu Lakini hata kwenye luninga Sijawahi kubahatika picha ya mama WA nchi nyingine hapa Africa mwenye hayo mazoea. Ila Sina uhakika inaweza Ikawa pia jamii nyingine zinafanyika shida yangu kubwa ni Hawa WA mjini uswahilini kwetu. Najisikia vibaya kushika hela ya namna hiyo ni kama haieshimiki pesa.
 
Cha ajabu wewe unaweza kuwa unaongoza kuyanyonya na misharubu yako
Hapana mkuu umenielewa ndivyo sivyo sijasema matiti ni mabaya. Kazi zake nyingine ZIPO. Pesa ni makaratasi ya heshima yanazunguka pesa ni mauchawi yanazunguka.. Sasa wanaoweka wanantia mashaka. Ila inategemea na mazingira mara nyingi vijijini na uswahilini.. Nawazungumzia WA uswahilini
 
Mbili tu Lakini hata kwenye luninga Sijawahi kubahatika picha ya mama WA nchi nyingine hapa Africa mwenye hayo mazoea. Ila Sina uhakika inaweza Ikawa pia jamii nyingine zinafanyika shida yangu kubwa ni Hawa WA mjini uswahilini kwetu. Najisikia vibaya kushika hela ya namna hiyo ni kama haieshimiki pesa.
Wanakela kweli mkuu napendaga wage wenye vibegi wamevifunga kiunoni
 
Kiukweli wakina mama wetu na kina Dada wetu sipendi hii waliyonayo ya kuweka hela kwenye maziwa. Unakuta ni mdada mfanyabiashara amekuuzia kitu kwenye mgahawa Sasa chenji anaitolea kwenye nguo kwenye maziwa.. Kwangu me Haijakaa SAWA kabisa kwanza sio person hygiene and good manner. Wanafaa wabadilike Ile ni ya kizaman na wana I practise Sana wakina mama WA kijijini. Wengine kwao ni kama utamaduni amekuta mama anafanya HiVyO na yeye ameiga. Kama suluhisho lingine pia linaweza kufanyika ni mafundi ku design nguo zao ziwe na mifuko. Lakini bado sijui tatizo ni nini wapo wadada wanavaa suruali Lakini bado pesa anaficha Kwa kuweka kwenye matiti. Na ni mwanamke WA mjini. Culture mazoea mabaya na ushamba
Na mama yako ndio anaongoza kueka pesa kwenye titi lake
 
Yaani pesa ikikaa kwenye maziwa inakuwa na usalama mkubwa kuliko kuiweka kwenye pochi
 
Hiyo tabia haipatikani Tanzania tu.

Najua hilo kwa uhakika kabisa.
 
Tatizo ni umasikini unaofanya pesa zienee matitini
 
Hata huku Kenya ipo tena wanakuruhusu ujitolee mwenyewe chenji
 
Back
Top Bottom