Tabia ya ma -supar star na wana vyuo kupanga nyumba ni kero!

Pinnacle

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
226
Reaction score
82
Wana bodi, siku za hivi karibuni nimeshuhudia wasanii wengi wakiondoka majumbani kwao na kuanza kujitegemea. Ni jambo zuri ila cha ajabu sio wa kike au wakiume wamekuwa ombaomba wa kodi za nyumba, wengi wao unakuta wanapiga mizinga ya kodi, wakike ndo kabisa. Kama hamjajipanga fanyeni moja kati ya haya: 1.kaeni makwenu 2. Pata chumba au nyumba unayoweza kumudu kwa kipato chako 3.changieni nyumba 4.punguzeni starehe na mashindano ili muweze kujitegemea katika mahitaji ya lazima.Hii tabia inakera na siku hizi wanafunzi wavyuo nao wameanza..."maendeleo ni kutokuwa na tamaa ya vitu usivyokuwa na uwezo navyo"
 
mhhhhhhhh
1 kama makwetu ni mbali na chuo so tusipange???
2 namba mbili umenena lakini wengi wanapenda maisha ya juu na hali pesa hawana
3 kuchangia nyumba kuna changamoto nyingi sana
4 umri wa kustarehe unaruhusu tukishamaliza chuo tuaangukiwa na majukumu chance haitakuwepo acha tujirushe kwa hela hiyo hiyo ya mawazo
 
Acha ubahili ukitaka vizuri gharamia,kwa hiyo umeombwa kodi ukaruka
 
Kiongozi, wala sio ubahili sas hivi kila unaemgusa baada ya wiki kodi imeisha, akikuonea huruma anaku block siku nzima jioni anakupigia kwa number nyingine simu yangu imepotea naomba msaada
 
Wana bodi, siku za hivi karibuni nimeshuhudia wasanii wengi wakiondoka majumbani kwao na kuanza kujitegemea. Ni jambo zuri ila cha ajabu sio wa kike au wakiume wamekuwa ombaomba wa kodi za nyumba, wengi wao unakuta wanapiga mizinga ya kodi, wakike ndo kabisa. Kama hamjajipanga fanyeni moja kati ya haya: 1.kaeni makwenu 2. Pata chumba au nyumba unayoweza kumudu kwa kipato chako 3.changieni nyumba 4.punguzeni starehe na mashindano ili muweze kujitegemea katika mahitaji ya lazima.Hii tabia inakera na siku hizi wanafunzi wavyuo nao wameanza..."maendeleo ni kutokuwa na tamaa ya vitu usivyokuwa na uwezo navyo"

Umenikumbusha wale vijakaz wa madame walivyofukuzwa kaz baada ya madame kuporwa vifaa vya ofis, wakawa wanaomba hela kwa mapedeshee wawalipie kodi ya nyumba, kilichotokea sijui
 
Hahaaa wadada wa mjini wanapata tabu sana, sasa wamekuwa ombaomba
 
Ama kweli umewapatia mimi wakiniambia kodi imeisha nawaambia na ubadilishe na jina kabisa uitwe mamananiiii
 
Hawa wasanii utakuta wengi wao wana mipunga tu kutokana na kazi zao na siku hizi wengi wanapata kazi za matangazo kwenye makampuni makubwa ,sasa badalaya kujijenga na kujiwekea kwa ajili ya kesho ndio mwanzo starehe zinazidi ,sasa subiri wakipata matatizo au kumwa dunia nzima iyasikia kuwa nanii anaumwa na utasikia tunaombwa kuwachangia eti kwa kuwa wameitangaza Tanzania ,jamani kwenye raha ,mufurahie wenyewe na jamaa zenu lakini kwenye shida mnataka kila mtu awasaidie ,hapana kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.Wasanii mnatia aibu mnapotembeza bakuli ,kila mtu ana maisha yake na kila mtu ana matatizo yake ,wakiwa wazima na hizo hela zao wanakuwa hawana msaada .Watu kama akina JB ,Mzee Majuto hatutegemei tena kusikia kesho mkitembeze bakuli huu ndio wakati wa kuangalia maisha.
 
Hapo kwenye wanachuo nadhani umekose.

Unataka wasipange vyumba wakaishi stend?

Kama umechoka gharama achana na huyo demu wako?

Unaogopa kuombwa hela
Mbona we unaomba papuchi ya mwenzio kla siku.
 
Ukweli mtupu kiongozi!
 
Hapo kwenye wanachuo nadhani umekose.

Unataka wasipange vyumba wakaishi stend?

Kama umechoka gharama achana na huyo demu wako?

Unaogopa kuombwa hela
Mbona we unaomba papuchi ya mwenzio kla siku.

Mkuu, wengi tumesoma na tumekuwa tunapanga ila hatukuwa na tamaa ya kutaka nyumba upande au nyumba nzima,laiti wangekuwa wanapanga vyumba za bei nafuu isingekuwa tatizo
 
Na uzao wa umalaya ndio unaanzia hapo
Maana mwisho wa siku wakiona pesa pichu zinawavuka
Na tabia hii itawacha masta wa bongo kuwa masikini kwa maisha marefu sana
 
Mkuu mi nmejbu kwa upande wa wanachuo, kwani wengi wetu tulisoma kwa kupanga vyumba, mi hao mastaa hata hawanihusu kwa sasa nadhani kla chuo kna uhaba wa hosteli icipokuwa Udom kwa wanafunz wa sasa kupanga haizuiliki
 
Naunga mkono hoja mkuu, na ni vema wapate malazi bora ila tatizo wasitamani nyumba ya gharama kubwa na kuweka sofa, music system ya bei mbaya -
 
Na uzao wa umalaya ndio unaanzia hapo
Maana mwisho wa siku wakiona pesa pichu zinawavuka
Na tabia hii itawacha masta wa bongo kuwa masikini kwa maisha marefu sana

Inasikitisha sana kiongozi
 
Hawa wasanii utakuta wengi wao wana mipunga tu kutokana na kazi zao na siku hizi wengi wanapata kazi za matangazo kwenye makampuni makubwa ,sasa badalaya kujijenga na kujiwekea kwa ajili ya kesho ndio mwanzo starehe zinazidi ,sasa subiri wakipata matatizo au kumwa dunia nzima iyasikia kuwa nanii anaumwa na utasikia tunaombwa kuwachangia eti kwa kuwa wameitangaza Tanzania ,jamani kwenye raha ,mufurahie wenyewe na jamaa zenu lakini kwenye shida mnataka kila mtu awasaidie ,hapana kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.Wasanii mnatia aibu mnapotembeza bakuli ,kila mtu ana maisha yake na kila mtu ana matatizo yake ,wakiwa wazima na hizo hela zao wanakuwa hawana msaada .Watu kama akina JB ,Mzee Majuto hatutegemei tena kusikia kesho mkitembeze bakuli huu ndio wakati wa kuangalia maisha.

sawa sawia
 
Back
Top Bottom