Wana bodi, siku za hivi karibuni nimeshuhudia wasanii wengi wakiondoka majumbani kwao na kuanza kujitegemea. Ni jambo zuri ila cha ajabu sio wa kike au wakiume wamekuwa ombaomba wa kodi za nyumba, wengi wao unakuta wanapiga mizinga ya kodi, wakike ndo kabisa. Kama hamjajipanga fanyeni moja kati ya haya: 1.kaeni makwenu 2. Pata chumba au nyumba unayoweza kumudu kwa kipato chako 3.changieni nyumba 4.punguzeni starehe na mashindano ili muweze kujitegemea katika mahitaji ya lazima.Hii tabia inakera na siku hizi wanafunzi wavyuo nao wameanza..."maendeleo ni kutokuwa na tamaa ya vitu usivyokuwa na uwezo navyo"