Tabia ya Simba kukomalia mechi na Yanga ndiyo mana haiendelei

Kulikuwa na kelele za Simba kuishinda Yanga kwenye mabonanza pekee, naona hako ka wimbo kamefutika kimya kimya.
Sasa hivi ni Yanga kupaniwa.

Simba imechukua ubingwa mwaka 2012 tu, tayari inaoonekana ni mbaaali! Mnataka kila siku iwe ni Simba tu?
Mbona hata Yanga ktk kipindi hiki (2012 - 2015) wamechukua mara moja tu?
 

Wakati wa vita vya Kagera na nduli IDD amin dada1977-79 tulikuwa tunakula ugali wa njano MBAYAAA! tulikuwa tunauita YANGA! Tangu wakati ule yanga haijawahi kuwa tamu kama mcharo wa juzi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…