Tabia ya ushoga mitandaoni inazidi kuongezeka kwa Kasi.TCRA imekuwa kipofu

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu.

Ushoga ni tabia chafu na mbaya kabisa ambayo jamii yetu haipaswi kulifumbia macho,iwe kwa nguvu au hiari wenye tabia hizi wanapaswa kuicha kabisa kwani inaleta athari mbaya kwa kizazi Cha Sasa na kijacho.

WADAU NI HIVI.
Nimelazimika kufungua account mpya ya Facebook baada ya kukaa kwa miaka kadhaa bila kutumia huu mtandao huo, na hali hii ilichagizwa na utoto mwingi uliojaa huko.

Siku za hivi karibuni kuna project ambayo nimeanzisha ili kuwafikia wateja wengi ndipo nikaona fursa ya kuitumia mitandao ya jamii ili kuwafikia wateja wengi wa Kila pande ya Dunia.
Thank God mambo sio mabaya yanaenda Kama nilivyopanga kwani napata oda nyingi Sana inbox kuhusu bidhaa hiyo.

Ila kilichonifanya niandike huu Uzi hapa jukwaani ni hii tabia za wanaume baadhi kujihisisha na tabia za kishoga.Mashoga wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutangaza Biashara tena bila aibu.

Wateja wengi hutuma maombi ya bidhaa inbox kiasi kwamba naweza kupata massage nyingi hata 100+ za clients wakihitaji bidhaa hizo lakini unakuta katika hizo 100 Basi 10 za mashoga.

Mwanaume anaombwa apigwe ukuni kweli!!

Wenye mamlaka ya mawasiliano naona Kama mumezidiwa ujuzi na hawa wapuuzi,Basi tunaomba wananchi mtupe ruhsa ya kukabiliana na hawa wajinga.

Nimeweka screenshot ili kuonyesha mbinu zao.
 
Uyu bibi yakhaya bin ally uyu ,duh yaan anahitaj ukuni?
 
Bila shaka wewe ni shoga mpaka unapata guts za kufanya intense chatting ya namna hiyo!
 
Bila shaka wewe ni shoga mpaka unapata guts za kufanya intense chatting ya namna hiyo!

Nakuheshimu kaka naomba wewe uniheshimu.Jaribu kurudia tena kusoma Uzi wangu unaweza kuona msimamo wangu Katika kadhia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…